Na miongoni mwa chanzo kinachosababisha ugonjwa huo huenda ikawa ni sababu ya msongo wa mawazo, unene kupindukia, uvutaji wa sigara, mazingira ya mfadhaiko ambayo husababisha mtu kukosa amani ya moyo, uvutaji wa sigara na sababu nyinginezo nyingi.
Na sifuatazo Dalili kuu za Presha.
- Uchovu wa mwili.
- Matatizo ya macho
- Hali ya kichefuchefu na kutapika
- Hali ya woga ambao husababisha mstuko.
- Kupauka kwa ngozi.
- Kupumua kwa shinda
No comments:
Post a Comment