Thursday, May 11, 2017

Magonjwa yanayotibika kwa Mmea Mnyonyo

Magonjwa yanayotibika kwa mmea mnyonyo
  • mnyonyo una faida nyingi
  • sana  kwa afya ya mwanadamu.
  • Karibu kila kitu  kinachopatikana
  • kwenye mmea wa  mnyonyo  kina
  • faida za kiafya kwa mwanadamu.

Magonjwa yanayotibikwa kwa mnyonyo.

  1. Kwikwi :Jaza maji kwenye kikombe, mpe mgonjwa anywe kila baada ya dakika 3 mpaka kwikwi iishe.
  2. Kuungua :Meza punje za mti wa
  3. nyonyo kwa maji kiasicha glasi moja kwa siku kwa muda wa siku
  4. tano.
  5. Kutibu miguu inayouma.
  6. Tumia majani kwa kufungia miguu inayouma.
  7. Maumivu Ya Mgongo.
  8. Majani yake ukiyapasha moto yafaa kukanda mgongo wenye
  9. maumivu.
  10. Kutibu Kaswende na Kisonono.

Unachotakiwa kufanya;
Ponda mizizi ya mti wa mnyonyo, kisha  chemsha na tumia kunywa glasi moja mara mbili kwa siku kwa muda wa siku saba.

Kusafisha utumbo: Kunywa mafuta ya mnyonyo vijiko viwili vikubwa vya chakula asubuhi, kisha pumzika kwa saa mbili ndipo unywe maji glasi mbili na endelea kunywa maji glasi moja kila baada ya saa moja.

Mnyonyo unaweza pia kuwafaa watu wanaoishi na VVU (Virusi Vya UKIMWI) kwani mafuta yake ni sumu ya kuua vimelea vya magonjwa kama vile bakteria na ukungu (fungus).

Namna ya kufanya:
1. Kupakaza: Chukua kipande cha nguo ama kitambaa, kisha kiloweke kwenye mafuta ya mnyonyo ndipo ufunge katika kiwiko ama eneo lenye maumivu ama kidonda. Vinginevyo, chukua kiasi cha mafuta na kupaka eneo linalohusika mfano, penye kidonda, kuugua ama pakaza kichwani au juu ya tumbo wakati wa maumivu ya hedhi nk. Unaweza kuacha kwa muda wa saa moja kabla ya kunawa ili uipe ngozi muda wa kunyonya kiasi cha mafuta. Unaweza kujifunga kitambaa hicho tumboni ama mgongoni kama kibwebwe na kuendelea na shughuli za kawaida.

2. Kunywa: Chemsha mbegu chache za mnyonyo pamoja na maji na maziwa kisha unywe kiasi kidogo kadiri ya nusu hadi bilauri moja ya ujazo wa mili lita mia mbili na arobaini.

47 comments:

  1. *MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
    1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
    2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
    3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
    4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
    5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
    6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
    7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
    8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
    9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
    10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
    11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
    12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
    13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
    14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!

    NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!

    NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!

    ReplyDelete
  2. *MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
    1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
    2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
    3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
    4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
    5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
    6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
    7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
    8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
    9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
    10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
    11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
    12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
    13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
    14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!

    NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!

    NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!

    ReplyDelete
  3. Je, naweza kuyapata wapi hayo mafuta au majani yake hapa dar

    ReplyDelete
    Replies
    1. Niko nazo lakini niko kenya majani na hata mbegu, mmea na hata mafata

      Delete
  4. Replies
    1. Ninashida na haya majani ya mnyonyo, tafadhari, naomba unijuze wapi niyapate.

      Delete
  5. Masikio je yanatibika kwa hayo mafuta?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Je nafanyeje katika matumizi!?Naomba ufafanuzi

      Delete
  6. Naomba kama kuna mtu anajua yanapopatikana hapa Dar tujuzane. WhatsApp +255654967123

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna dada anauza ukimwiraji nijuze

      Delete
    2. yanapatikana mbagala zakiem 0685277851

      Delete
    3. Ukishindwa kuyapata tuwasiliane Njombe mmea huo upo kwa wingi:Claus

      Delete
    4. kama bado unaya hitaji nitafute hapa 0714351470 kwa DAR

      Delete
  7. Mim nawashwa mwili je! Nitumiaje mnyonyo kujitibuu?

    ReplyDelete
  8. Namna ya kuyatumia na tunayapataje na bei zake

    ReplyDelete
  9. Kuna mtu alinambia mbegu ya mnyonyo inatibu pumu kwa kuimeza wakati wa asubuhi kabla haujala chochote, ila mbegu inayotakiwa no ule mnyonyo unaoota sana makaburini(mnyonyo mwekundu). Kwahiyo nazihitaji sana hizi mbegu sababu alisema zilimsaidia kupona kabisa.

    ReplyDelete
  10. Mimi nina mafuta ya mnyonyo ukihitaji naomba unitafute kwa WhatsApp 0752240337

    ReplyDelete
  11. Jinsi ya kutoa harufu ktk mafuta ya mnyonyo

    ReplyDelete
  12. Mbegu zinazotumika ni mbichi au kavu?

    ReplyDelete
  13. Kwa wenye vipara je haitaalibu au Kuweka mikunjo kichwani

    ReplyDelete
  14. Kwa wenye vipara je haitaalibu au Kuweka mikunjo kichwani

    ReplyDelete
  15. Je mafuta ya kampuni za warabuni na india hayafai?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tumia original ambayo hayajapitishwa viwandani uone matokeo yake ukihitaj nichek 0746 885418

      Delete
  16. Mm Niko na gesi naomba nitumie vipi mafuta haya tafadhali yanisumbua mda wa miezi Saba sahii yanifanya hata kupumua shida

    ReplyDelete
  17. Hii ina saidia sana jamani jaribuni mujionee

    ReplyDelete
    Replies
    1. *MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
      1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
      2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
      3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
      4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
      5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
      6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
      7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
      8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
      9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
      10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
      11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
      12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
      13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
      14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!

      NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!

      NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!

      Delete
  18. Naomba kufahamu jinsi ya kuyatumia kutibu fungus sugu

    ReplyDelete
  19. Kwa waliopo DAR, KIBAHA, kama unahitaji Mafuta natural kabisa ya MNYONYO nitafute kupitia namba hii 0714351470

    ReplyDelete
  20. Kwa wale wanaohitaji mafuta ya nyonyo(castor oil) & mafuta ya parachichi(Avocado oil). Call +255712128364 +255687984148 Facebook: @realqualityproduct E-mail; realqualityproduct08@gmail.com

    ReplyDelete
  21. Ninauza mnyonyo original na maelekezo natoa karibuni sana yamewasaidia watu wengi napatikana Dar 0746 885418 Delivery ipo pia...

    ReplyDelete
  22. *MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
    1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
    2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
    3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
    4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
    5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
    6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
    7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
    8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
    9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
    10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
    11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
    12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
    13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
    14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!

    NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!

    NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!

    ReplyDelete
  23. ® Kwa wenye uhitaji wa mafuta ya Mnyonyo & Parachichi

    Contacts;
    Phone:+255687984148
    :+255712128364

    Email :realqualityproduct08@gmail.com
    Facebook: @realqualityproduct
    Google:@realqualityproduct

    Tunakuletea popote (free delivery)ndani ya mkoa wa Dar ea salaam,pia nje ya Dar es salaam tunatuma Kwa kuchangia gharama kidogo za usafiri

    ReplyDelete
  24. Naona huu mti ni WA muhimu sana,nashauri serikali iupe kipaumbele

    ReplyDelete
  25. ASANTE KIONGOZI KWA TAARIFA NZURI NA ELIMU Je
    mafu ya munyonyo yanaweza kutibu Buwa Siri

    ReplyDelete